Rev. Dr.Barnabas Mtokambali achaguliwa tena kuwa Askofu mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies

Dr.Barnabas Mtokambali achaguliwa tena kuwa Askofu mkuu wa TAG
Makamu wake ni Rev Dr Magnus Mhiche mchungaji wa Mbagala spiritual centre
Na katibu mkuu ni Ron Swai mchungaji wa Dar es Salaam Calvary Temple DCT 
 
 Askofu Dk Barnabas Mtokambali, amechaguliwa kwa awamu nyingine tena kuongoza kanisa hilo, kwa miaka minne. Dk. Mtokambali aliibuka mshindi katika kura za maoni kwa kupata jumla ya kura 2250, kati ya kura 2403 zilizopigwa, akifuatiwa na askofu Lawrence kametta aliyepata kura 128.

Ushindi huo wa 2/3 sawa na asilimia 75 ya kura zote, ulimfanya msimamizi mkuu wa uchaguzi huo Mmishenari Gregory Beggs kumtangaza Dk. Mtokambali kuwa Askofu mkuu kwa awamu hiyo ya tano.

Mkutano huo pia ulifanya uchaguzi kwa upande wa makanu, ambapo askofu Dk.agnus Mhiche naye kwa mara nyingine ya tatu amechaguliwa kuwa makamu askofu Mkuu, baada ya vuta nikuvute kati ya Askofu Lawrence kametta, iliyosababisha uchaguzi kurudiwa mara tatu mfululizo.

Kwa ufande wa katibu, Mchungaji Ron Swai naye amerejea kwenye nafasi yake baada ya kuteuliwa na wapinzani wawili na kuwabwaga kwenye kura za awali na kutangazwa kuwa katibu mkuu kwa awamu nyingine tena.

Kuchaguliwa kwa viongozi hao imewarejesha wote waliokuwepo kwenye nafasi hizo bila kufanyika mabadiliko yoyote. Hata hivyo katika mkutano huo ulifanyika uchaguzi wa viongozi waajimbo, sehemu na kamati zao.

Dr Barnabas Mtokambali ni Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God, Bethel Revival Temple, Mtaa wa Mwembe Songo, Morogoro Mjini, Katika mkoa wa Morogoro, Tanzania

Kwa mara ya Kwanza Dr. Barnabas Mtokambali alichaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa TAG kwa kipindi cha miaka 4 Alichaguliwa kwa mara ya Kwanza august 2008

Kwa awamu nyingine ya pili Dr Barnabas Mtokambali alichaguliwa kuwa askofu wa TAG kwa kipindi cha miaka minne (2013-2016) 

ASKOFU MKUU MPYA WA TAG DK. BARNABAS MTOKAMBALI(KATIKATI), AKIWA PAMOJA NA KAMATI YAKE, MARA BAADA YA KUCHAGULIWA KUONGOZA TAG KWA AWAMU NYINGINE. KUSHOTO KWAKE NI MAKAMU WAKE ASKOFU DK. MAGNUS MHICHE NA KULIA NI KATIBU REV. RON SWAI.

ASKOFU MPYA WA TAG 2016, DK BARNABAS MTOKAMBALI(KUSHOTO) AKITETA JAMBO NA BADHI YA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA KANISA HILO. MKUTANO HUO ULIFANYIKA KATIKA UKUMBI WA CHIMWAGA ULIOKO UDOM, DODOMA

DK. MTOKAMBALI AKIWA CHINI ARDHINI AKIWASHUKURU WAJUMBE WA MKUTANO HUO KWA KUTOA USHIRIKIANO NAO KWA MIAKA YOTE MINNE WALIPOKUWA KWENYE UONGOZI KUANZIA 2012 HADI 2016

Hata hivyo,Dr magnus Mhiche aliyekuwa makamu askofu Mkuu naye alifanukiwa kurudishwa tena katika nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka minne mingine,na kisha uchaguzi wa ngazi ya kitaifa ulikamilika baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa kanisa hilo Rev.Ron Swai maarufu kama "Chalii"kurudishwa tena katika nafasi hiyo vile vile kwa miaka minne mingine. Mkutano huo wa Uchaguzi kwa mijibu wa katiba ya TAG hufanyika kila baada ya miaka minne,na kamati hii iliingia madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2008 na kuja na sera ya MIAKA KUMI YA MAVUNO ambayo imeleta dira ya maendeleo ya kanisa hilo kwa kiasi kikubwa. Dr Barnabas W.Mtokambali,alizaliwa miaka takribani 50 iliyopita,wilayani Chunya,wazazi wake wakiwa ni wahamiaji kutoka maeneo ya ziwa Nyasa(Manda),alianza safari yake ya masomo Mkoani Kigoma(form 1&2)kisha kuhamia Sekondari ya Forest(Mkoani Morogoro) na kisha Alipata Elimu ya Juu(BA)East African School of Thelogy nchini Kenya na baadaye M.Div,M Th na kisha D.Min vyuo mbali mbali nchini Marekani kati ya miaka ya 1992 na 2005. Alianza huduma miaka ya 1988 mjini morogoro kanisa na Bethel Revival Temple ambalo analichunga Mpka sasa kutoka utupu mpaka takribani washirika 2000 hivi sasa. Amemuoa Mrembo GLADMERRY maarufu kwa jina la MAUA na amebarikiwa watoto watatu,JOYLINE(chuo kikuu)GLADYLINE(High school) na wa kiume Pekee OCEANNIC(primary school). Dr Mtokambali ana historia ndefu kwa kanisa hili na katika uongozi wa kanisa hili tangu mwaka 1992 mpaka sasa amewahi kuwa Katibu wa sehemu ya Morogoro,makamu askofu wa jimbo la Mashariki,Askofu nwa jimbo la Morogoro,makamu askofu Mkuu na sasa ni askofu Mkuu. Ni mhadhiri wa vyuo vikuu duniani(global University),Mwalimu wa Neno la Mungu,Mbeba maono ya vyuo vya kupanda makanisa na mtandao wa ujenzi wa makanisa Africa,Mchungaji wa kanisa na mahali pamoja,Mume na Baba wa Familia na mambo mengine mengi.

Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ

KATIBU MKUU WA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD (TAG) 

Rev. Ronald Swai ni mchungaji Kiongozi wa Kanisa la TAG Dar es Salaam Calvary Temple (DCT)

Kanisa hili liko maeneo ya Tabata Shule - Ilala, Dar Es Salaam, Tanzania.

Mkutano huu wa Uchaguzi kwa mujibu wa katiba ya TAG hufanyika kila baada ya miaka minne,na kamati hii iliingia madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2008 na kuja na sera ya 
'MIAKA KUMI YA MAVUNO '
Ambayo imeleta dira ya maendeleo ya kanisa hilo kwa kiasi kikubwa. 
Dr Barnabas W.Mtokambali, wilayani Chunya,wazazi wake wakiwa ni wahamiaji kutoka maeneo ya ziwa Nyasa(Manda)
SAFARI YAKE YA MASOMO
Alianza safari yake ya masomo 
Mkoani Kigoma(form 1&2)kisha kuhamia Sekondari ya Forest(Mkoani Morogoro) na kisha Alipata Elimu ya Juu(BA)East African School of Thelogy nchini Kenya na baadaye M.Div,M Th na kisha D.Min vyuo mbali mbali nchini Marekani kati ya miaka ya 1992 na 2005. 
SAFARI YAKE KIHUDUMA  

Alianza huduma miaka ya 1988 mjini Morogoro kanisa na Bethel Revival Temple ambalo analichunga Mpaka sasa kutoka utupu mpaka takribani washirika 2000 hivi sasa. 
Ni baba wa mke mmoja na jina la Mama Askofu ni  GLADMERRY amebarikiwa watoto watatu, JOYLINE, GLADYLINEna wa kiume ni OCEANNIC.
  •  Dr Mtokambali ana historia ndefu kwa kanisa hili na katika uongozi wa kanisa hili tangu mwaka 1992 mpaka sasa amewahi kuwa 
  • Katibu wa sehemu ya Morogoro,
  • Makamu Askofu wa jimbo la Mashariki,
  • Askofu wa jimbo la Morogoro,
  • Makamu Askofu Mkuu na sasa ni Askofu Mkuu. 
  • Ni mhadhiri wa vyuo vikuu Duniani
  (global University),
  • Mwalimu wa Neno la Mungu,
  • Mbeba maono ya vyuo vya kupanda makanisa na mtandao wa ujenzi wa makanisa Africa,
  • Mchungaji wa kanisa na mahali pamoja,Mume na Baba wa Familia.

Mr. & Mrs Barnabas W. Mtokambali

Idara ya Elimu ya kanisa la Tanzania Assemblies of God linatekeleza mpango wa maboresho wa vyuo vyake vya Biblia nchi nzima. Mwezi Januari Mwaka 2016, jengo jipya lenye uwezo wa kuchukua wanafunzi wanaume zaidi ya 200 katika chuo cha Biblia cha Central Bible College (CBC) Dodoma lilizinduliwa katika hafla iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God Rev. Dr. Barnabas Mtokambali. Mradi huu umefadhiliwa kwa ubia baina ya  "Priority One"kutoka Marekani na Idara ya Elimu ya TAG. 

Ufunguzi wa makanisa
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhiwa tuzo na Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God (TAG) Dkt Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa hilo katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya

Miaka 75 ya uwepo wa Kanisa la TAG iliyosherehekewa mwaka (2014), inahesabiwa tangu wakati Mmissionari Paul Derr alipolikabidhi Kanisa kwa Baraza Kuu la Assemblies of God Marekani mwaka 1939 na ambao ndio wakati aposimikwa rasmi kuwa mtumishi wa AG na kanisa la Marekani na wala si wakati alipofika Tanganyika akiwa chini ya Kanisa la Pentecoste Holliness Asociation.  

Tutavuna Mpaka Kieleweke
 
Musa akamjibu, "Tutakwenda na vijana wetu na wazee wetu, na wana wetu, na binti zetu, ..."
Kutoka 10:9

Share on Google Plus

About Bachema

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment