Dr.Barnabas Mtokambali achaguliwa tena kuwa Askofu mkuu wa TAG
Makamu wake ni Rev Dr Magnus Mhiche mchungaji wa Mbagala spiritual centre
Na katibu mkuu ni Ron Swai mchungaji wa Dar es Salaam Calvary Temple DCT
Askofu Dk Barnabas Mtokambali, amechaguliwa kwa awamu nyingine tena
kuongoza kanisa hilo, kwa miaka minne. Dk. Mtokambali aliibuka mshindi
katika kura za maoni kwa kupata jumla ya kura 2250, kati ya kura 2403
zilizopigwa, akifuatiwa na askofu Lawrence kametta aliyepata kura 128.
Ushindi huo wa 2/3 sawa na asilimia 75 ya kura zote, ulimfanya msimamizi mkuu wa uchaguzi huo Mmishenari Gregory Beggs kumtangaza Dk. Mtokambali kuwa Askofu mkuu kwa awamu hiyo ya tano.
Mkutano huo pia ulifanya uchaguzi kwa upande wa makanu, ambapo askofu Dk.agnus Mhiche naye kwa mara nyingine ya tatu amechaguliwa kuwa makamu askofu Mkuu, baada ya vuta nikuvute kati ya Askofu Lawrence kametta, iliyosababisha uchaguzi kurudiwa mara tatu mfululizo.
Kwa ufande wa katibu, Mchungaji Ron Swai naye amerejea kwenye nafasi yake baada ya kuteuliwa na wapinzani wawili na kuwabwaga kwenye kura za awali na kutangazwa kuwa katibu mkuu kwa awamu nyingine tena.
Kuchaguliwa kwa viongozi hao imewarejesha wote waliokuwepo kwenye nafasi hizo bila kufanyika mabadiliko yoyote. Hata hivyo katika mkutano huo ulifanyika uchaguzi wa viongozi waajimbo, sehemu na kamati zao.

Dr Barnabas Mtokambali ni Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God, Bethel Revival Temple, Mtaa wa Mwembe Songo, Morogoro Mjini, Katika mkoa wa Morogoro, Tanzania
Kwa mara ya Kwanza Dr. Barnabas Mtokambali alichaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa TAG kwa kipindi cha miaka 4 Alichaguliwa kwa mara ya Kwanza august 2008
Kwa awamu nyingine ya pili Dr Barnabas Mtokambali alichaguliwa kuwa askofu wa TAG kwa kipindi cha miaka minne (2013-2016)
ASKOFU MPYA WA TAG 2016, DK BARNABAS MTOKAMBALI(KUSHOTO) AKITETA JAMBO NA BADHI YA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA KANISA HILO. MKUTANO HUO ULIFANYIKA KATIKA UKUMBI WA CHIMWAGA ULIOKO UDOM, DODOMA |
DK. MTOKAMBALI AKIWA CHINI ARDHINI AKIWASHUKURU WAJUMBE WA MKUTANO HUO KWA KUTOA USHIRIKIANO NAO KWA MIAKA YOTE MINNE WALIPOKUWA KWENYE UONGOZI KUANZIA 2012 HADI 2016 |
Hata hivyo,Dr magnus
Mhiche aliyekuwa makamu askofu Mkuu naye alifanukiwa kurudishwa tena
katika nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka minne mingine,na kisha uchaguzi
wa ngazi ya kitaifa ulikamilika baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa
kanisa hilo Rev.Ron Swai maarufu kama "Chalii"kurudishwa tena katika
nafasi hiyo vile vile kwa miaka minne mingine.
Mkutano huo wa Uchaguzi kwa mijibu wa katiba ya TAG hufanyika kila
baada ya miaka minne,na kamati hii iliingia madarakani kwa mara ya
kwanza mwaka 2008 na kuja na sera ya MIAKA KUMI YA MAVUNO ambayo imeleta
dira ya maendeleo ya kanisa hilo kwa kiasi kikubwa.
Dr Barnabas W.Mtokambali,alizaliwa miaka takribani 50 iliyopita,wilayani
Chunya,wazazi wake wakiwa ni wahamiaji kutoka maeneo ya ziwa
Nyasa(Manda),alianza safari yake ya masomo Mkoani Kigoma(form
1&2)kisha kuhamia Sekondari ya Forest(Mkoani Morogoro) na kisha
Alipata Elimu ya Juu(BA)East African School of Thelogy nchini Kenya na
baadaye M.Div,M Th na kisha D.Min vyuo mbali mbali nchini Marekani kati
ya miaka ya 1992 na 2005.
Alianza huduma miaka ya 1988 mjini morogoro kanisa na Bethel Revival
Temple ambalo analichunga Mpka sasa kutoka utupu mpaka takribani
washirika 2000 hivi sasa.
Amemuoa Mrembo GLADMERRY maarufu kwa jina la MAUA na amebarikiwa watoto
watatu,JOYLINE(chuo kikuu)GLADYLINE(High school) na wa kiume Pekee
OCEANNIC(primary school).
Dr Mtokambali ana historia ndefu kwa kanisa hili na katika uongozi wa
kanisa hili tangu mwaka 1992 mpaka sasa amewahi kuwa Katibu wa sehemu ya
Morogoro,makamu askofu wa jimbo la Mashariki,Askofu nwa jimbo la
Morogoro,makamu askofu Mkuu na sasa ni askofu Mkuu.
Ni mhadhiri wa vyuo vikuu duniani(global University),Mwalimu wa Neno la
Mungu,Mbeba maono ya vyuo vya kupanda makanisa na mtandao wa ujenzi wa
makanisa Africa,Mchungaji wa kanisa na mahali pamoja,Mume na Baba wa
Familia na mambo mengine mengi.
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ

Mkutano huu wa Uchaguzi kwa mujibu wa katiba
ya TAG hufanyika kila baada ya miaka minne,na kamati hii iliingia madarakani
kwa mara ya kwanza mwaka 2008 na kuja na sera ya
'MIAKA KUMI YA MAVUNO '
Ambayo
imeleta dira ya maendeleo ya kanisa hilo kwa kiasi kikubwa.
Dr Barnabas
W.Mtokambali, wilayani Chunya,wazazi wake
wakiwa ni wahamiaji kutoka maeneo ya ziwa Nyasa(Manda)
SAFARI YAKE YA MASOMO
Alianza safari yake ya
masomo
Mkoani Kigoma(form 1&2)kisha kuhamia Sekondari ya Forest(Mkoani
Morogoro) na kisha Alipata Elimu ya Juu(BA)East African School of Thelogy
nchini Kenya na baadaye M.Div,M Th na kisha D.Min vyuo mbali mbali nchini
Marekani kati ya miaka ya 1992 na 2005.
SAFARI YAKE KIHUDUMA
Alianza huduma miaka ya 1988 mjini Morogoro kanisa na Bethel Revival Temple ambalo analichunga Mpaka sasa kutoka
utupu mpaka takribani washirika 2000 hivi sasa.
Ni baba wa mke mmoja na jina la Mama Askofu ni GLADMERRY amebarikiwa watoto watatu, JOYLINE, GLADYLINEna wa kiume ni OCEANNIC.
(global
University),
|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhiwa tuzo na Askofu Mkuu wa Tanzania
Assemblies of God (TAG) Dkt Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele
cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa hilo katika uwanja wa Kumbukumbu ya
Sokoine jijini Mbeya Miaka 75 ya uwepo wa Kanisa la TAG iliyosherehekewa mwaka (2014), inahesabiwa tangu wakati Mmissionari Paul Derr alipolikabidhi Kanisa kwa Baraza Kuu la Assemblies of God Marekani mwaka 1939 na ambao ndio wakati aposimikwa rasmi kuwa mtumishi wa AG na kanisa la Marekani na wala si wakati alipofika Tanganyika akiwa chini ya Kanisa la Pentecoste Holliness Asociation.
“ Tutavuna Mpaka Kieleweke ”
|
Kutoka 10:9
0 comments :
Post a Comment